Mtunzi: Frt. John W. Nsenye Sds
> Mfahamu Zaidi Frt. John W. Nsenye Sds
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. John W. Nsenye Sds
Makundi Nyimbo:
Umepakiwa na: Frt.John Nsenye
Umepakuliwa mara 419 | Umetazamwa mara 1,981
Download Nota Download MidiWASTAHILI KUSIFIWA MUNGU
Wastahili kusifiwa kusifiwa kusifiwa nakutukuzwa milele. x2
1. Umehimidiwa EeBwanaMungu wa Baba zetu, (Mungu) Limehimidiwa jina lako takatifu tukufu (Mungu), Wastahili kusifiwa nakutuku zwa- milele.
2. Umehimidiwa katika hekalu lako takatifu (Mungu), Umehimidiwa juu ya - kiti cha ufalme wako (Mungu), Wastahili kusifiwa nakutuku zwa- milele.
3. Umehimidiwa utazamayevilindi; Uketiye juu ya makerubi (Mungu), Umehimidiwa katika angaa lako la Mbinguni, Wastahili kusifiwa nakutuku zwa- milele.