Ingia / Jisajili

NITAKIPOKEA KIKOMBE CHA WOKOVU (Zaburi 116)

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 519 | Umetazamwa mara 2,185

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Nitakipokea kikombe cha wokovu; na kulitangaza jina la Bwana, na kulitangaza jina la Bwana. 1.Nimrudishie Bwana wangu nini, kwa ukarimu wake alionitendea? nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana. 2. Ina thamani machoni pa Bwana, mauti ya wacha Mungu wake, Ee Bwanahakika mimi ni mtumishi wako, umevifungua vifungo vyangu. 3.Nitakutolea dhabihu ya kushukuru; na kulitangaza jina la Bwana; nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana, naam mbele ya watu wake wote.

Maoni - Toa Maoni

Jacob Thomas Jun 06, 2021
Nimependa

Toa Maoni yako hapa