Ingia / Jisajili

MSIFUNI BWANA HUWAPONYA WALIOPONDEKA MOYO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 2,058 | Umetazamwa mara 4,420

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Msifuni Bwana huwaponya waliopondeka moyo, msifuni Bwana huwaponya waliopondeka moyo: msifuni Bwana, Msifuni Bwana, huwaponya waliopondeka moyo. 1.Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu, maana kwapendeza kusifu ni kuzuri. 2.Bwana ndiye aijengaye yerusalemu, huwakusanya waliotawanyika wa Israeli. 3.Huwaponya waliopondeka moyo na kuziganga jeraha zaho huzipa zote majina. 4.Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, akili zake hazina mipaka. 5.Bwana huwategemeza wenye upole, huwaangusha chini wenye jeuri.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa