Mtunzi: Benny Weisiko John
> Mfahamu Zaidi Benny Weisiko John
> Tazama Nyimbo nyingine za Benny Weisiko John
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Benny Weisiko
Umepakuliwa mara 2,785 | Umetazamwa mara 8,024
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Nitaondoka mimi nitakwenda kwa Baba yangu, nakumwambia, baba baba baba yangu, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako. x2
Shairi
1.Ni watumishi wangapi wa Baba yangu, wanaokula chakula nakusaza, na mimi hapa nakufa kwa njaa
2.Nalishwa chakula pamoja na nguruwe, nateseka utumwani nateseka, nitarudi nyumbani kwa Baba.
3.Baba nimekosa kwako na juu ya mbingu, unisamehe unipokee tena, nihurumie mimi mkosefu.
4.Wala mimi sistahili kuitwa mwanao, unipokee niwe kama mtumwa, nitumikie nyumbani mwa-ko.