Ingia / Jisajili

Nitamuhimidi bwana

Mtunzi: John Kimaro
> Mfahamu Zaidi John Kimaro
> Tazama Nyimbo nyingine za John Kimaro

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: John Emanueli

Umepakuliwa mara 405 | Umetazamwa mara 1,154

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nitamuhimidi bwana Kila wakati sifa zake zikinywani mwangux2 katika bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekevu wasikie wafurahi mtukuzeni bwana pamoja nami tulidhimishe jina lake pamojax2. MASHAIRI; 1) nalimtafuta bwana akanijibu akaniponya na shida zangu zote. 2) wakamwelekea wakati wa shida Wala nyuso zao hazitaona haya. 3) masikini aliita bwana akasikia akamwokoa na taabu zake zote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa