Maneno ya wimbo
Baba tunaleta vipaji(vyetu) tunaomba uvipokee tunavileta mezani kwako twakuomba uvipokee, pia tunaleta na fedha(zetu) tunaomba uvipokee nimapato ya kazi zetu twakuomba uvipokee,. Tunaleta mkate divai twakuomba upokee. Tunaleta na Sala zetu twakuomba uvipokee. SHAIRI;.1.(a) mazao ya mashambani tunaleta kwako,. (b) mkate na divai tunaleta kwako,. (c) upokee bwana Kama shukrani. (d) vyote vyatoka kwako bwana upokee. 2,(a) Mali tulizonazo zinatoka kwako. (b) tunazileta kwako baba upokee. (c)tumezipata kwako baba upokee. (d) wewe ndiwe mpaji baba upokee. 3,(a) tunaleta na Sala zetu upokee. (b) pia na shukrani zetu upokee. (c) tunakushukuru baba tunasema asante. (d) milele na milele tunasema asante.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu