Ingia / Jisajili

Tufurahi Amezaliwa Kristu.

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Shukrani | Noeli | Kwaresma

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 259 | Umetazamwa mara 1,234

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tufurahi na tushangilie tuimbe Aleluya amezaliwa Yesu Kristu. Amezaliwa mjini Bethlehemu, mwokozi wa ulimwengu wote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa