Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 857 | Umetazamwa mara 3,192
Download Nota Download Midi1. Nasikia wito wa Bwana ukiniita mimi,
ukiniambia mimi nitangaze injili
Niamke niende nitangaze neno yeye aliyenituma anisaidie x 2
2. Kazi yako Bwana ni ngumu inahitaji moyo,
kwani nao maadui nao wajiandaa.
3. Ninaondoka Bwana mi-mi ninaanza safari,
nikiwa nazo siaha yote kuyakabili
4.Naongeza mwendo Bwana kuanza kazi yako,
kutangaza neno lako kwa mataifa yote
5. Niongoze Bwana wangu katika wito wangu,
watu wote wakujuwe we uliyenituma.