Mtunzi: Derick Oscar Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Oscar Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Oscar Nducha
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 417 | Umetazamwa mara 1,473
Download Nota Download MidiNITAONDOKA.
Nitaondoka nitakwenda kwa baba yangu, nitaondoka nitakwenda kwa baba yangu.×2
MASHAIRI.
1.Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako, kiasi cha wingi wa rehema zako uyafute makosa yangu.
2.Ee Mungu uniumbie Moyo safi uifanye upya, Roho iliyotulia ndani yangu Roho iliyotulia ndani yangu.
3.Ee Bwana uifumbue Midomo yangu na kinywa changu, kinywa changu kitazinena kitazinena sifa zako.