Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: KULWA GEORGE
Umepakuliwa mara 1,428 | Umetazamwa mara 3,730
Download NotaNitaondoka nitakwenda: kwa Baba yangu x2 Nakumwambia, Baba nimekosa juu ya mbingu na mbele yako. x2
1. Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako, na uyafute makosa yangu.
2. Unioshe kabisa, unioshe na uovu wangu; na unitakase dhambi zangu.
3. Maana nimeyajua, nimeyajua makosa yangu; na dhambi yangu i mbele yangu daima.
4. Ee Mungu uniumbie, uniumbie moyo safi; na uifanye upya roho yangu.