Mtunzi: Fr. Kulwa G. Paul
> Mfahamu Zaidi Fr. Kulwa G. Paul
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Kulwa G. Paul
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: KULWA GEORGE
Umepakuliwa mara 847 | Umetazamwa mara 2,673
Download NotaUpokee Ee Bwana, sala yangu ya moyoni; kama moshi wa ubani: na ipae kwako na ikupendeze Mungu wangu.
1. Najitolea kwako kwa moyo mkunjufu, unipokee unitakase.
2. Utupokee sisi tunaokunyenyekea, ee Bwana upendezwe nasi.
3. Ee Bwana upokee sadaka mikononi mwako, kwa sifa na utukufu wako.
4. Atukuzwe Baba na atukuzwe Mwana, na Roho Mtakatifu. Amina.