Ingia / Jisajili

Nitaweza Je Kudumu

Mtunzi: Mwesswa matenda dieudonne
> Mfahamu Zaidi Mwesswa matenda dieudonne
> Tazama Nyimbo nyingine za Mwesswa matenda dieudonne

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mwesswa matenda Dieudonne

Umepakuliwa mara 121 | Umetazamwa mara 503

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1)-Nitaweza je kudumu katika imani, pasipo msaada wako yesu, nisipo ona uwepo wako, imani pia ya pepeya, R)-Nioneshe mukono wako , niwe imara daima milele 2)- nitaweza je ku linda imani milele, pasipo roho wako yesu, uwepo wako maishani mwetu, nguvu imani ya simama 3)- nitaweza je ku shinda muovu milele, pasipo pasipo mkono wako yesu, musada wako maishani mwetu, woga uzuni ya poteya 4)-nitaweza je ku ishi imani milele, pasipo roho mtakatifu, vipaji vyako maishani mwetu, huimarisha nguvu zetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa