Ingia / Jisajili

Nitume Bwana

Mtunzi: Frt. Godfrey Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Godfrey Masokola

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Godfrey MASOKOLA

Umepakuliwa mara 4,138 | Umetazamwa mara 7,415

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Kat Robert Jun 10, 2024
Nahitaji kudownload nafanyaje

Venance Dawson Nov 10, 2022
Amani yangu ya kujongea wito wangu unabarikiwa na wimbo huu.Ubarikiwe mtunzi

Wenceslaus C. Ligambas Dec 29, 2021
Hakika huu wimbo unanibariki kila ninapousikia.

Adam Rafiki Jan 04, 2021
Huu wimbo naupenda na nauskia kila ninaposikiliza habari za idhaaa ya kiswahili ya redio vatican ko naomba nitumiwe ai lik ya kuudawnload

Benedict Kombo Nov 16, 2020
Hongera sana,wimbo mzuri sana.Mungu azidi kukutunulia maono utunge nyimbo za kuinjilidha zaidi.

Matayo Jul 26, 2020
hongera na endelea kutuinjilisha kwa nyimbo zako nzuri. Mungu aibariki kazi ya mikono yako.

Toa Maoni yako hapa