Ingia / Jisajili

Niwashukuruje Wazazi Wangu?

Mtunzi: Steven kiteve
> Mfahamu Zaidi Steven kiteve
> Tazama Nyimbo nyingine za Steven kiteve

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Steven Kiteve

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ni shukrani zipi nitoe kwenu ninyi wazazi wangu, kwa uchungu na kwa mateso, mmenizaa mmenilea. Ni neno gani litafaa maskioni mwenu, litoshe kutoa shukrani zangu kwenu. Hakika hakuna Mwenyezi Mungu awabariki.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa