Mtunzi: Fransis norbert
                     
 > Mfahamu Zaidi Fransis norbert                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert                 
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 31 | Umetazamwa mara 54
Download Nota Download MidiNjoo kwetu Masiha sisi tunakungoja uje kutuokoa x2
1. Shuka toka mawinguni, shuka uje utuokoe
2. Usikawie masiha njoo uje utuokoe