Ingia / Jisajili

Njoo mwanangu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 613 | Umetazamwa mara 2,372

Download Nota
Maneno ya wimbo

Njoo njoo njoo mwanangu nimekuchagua kati ya mataifa njoo ninahaja nawe x2. Usiogope niko pamoja nawe tazama nimetia maneno yangu kinywani mwako njoo njoo mwanangu x2.

  • 1A.Nimekuita uwahubiri Mataifa, Njoo njoo mwanangu
  •   B.Uwafundishe yote niliyokuamuru, Njoo njoo mwanangu.

  • 2A.Kawakusanye kondoo waliopotea, njoo njoo mwanangu.
  •   B.Uwarudishe kundini waliotawanywa, njoo njoo mwanangu.

  • 3A.Shambani mwa Bwana mnamavuno mengi, njoo njoo mwanangu.
  •   B.Lakini watenda kazi ni wachache, njoo njoo mwanangu.

  • 4A.Tazama mimi niko pamoja nawe, njoo njoo mwanangu.
  •   B.Hata ukamilifu wa dahari, njoo njoo mwanangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa