Ingia / Jisajili

Imba sifa za Bwana

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 935 | Umetazamwa mara 2,685

Download Nota
Maneno ya wimbo

Malaika juu mbinguni wanaimba sifa zake Mungu, kwa kinanda, zeze, ngoma na matari waziimba (wanaimba) sifa zake Mungu. x2 Enyi viumbe wote wa dunia msifuni Bwana, kwa matari, ngoma na vinanda na zeze mziiimbe sifa zake. Sifa zake Mungu. x2

  • 1.Yeye ndiye kaviumba vitu vyote duniani, wanyama,samaki baharini na ndege wa angani kwa jinsi yake, na mimea juu ya nchi, wastahili sifa Mungu wetu.
  • 2.Ee Bwana umetuumba, kwa mfano wako, umetujalia utashi wakujua, mema na mabaya tofauti na viumbe wengine, usifiwe milele na milele.
  • 3.Wewe umetukuka duniani na mbinguni, ni Mungu wa huruma kwa watu wote unatujlia mvua juu ya nchi, na mimea inatupa chakula tunakula na kushiba uhimidiwe Mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa