Ingia / Jisajili

Njoo Wangu Mfariji (Tumshangilie Bwana Version)

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Tenzi za Kiswahili | Ubatizo

Umepakiwa na: Mutuli Okonyo

Umepakuliwa mara 566 | Umetazamwa mara 713

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Pentekoste

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
{ Njoo wangu Mfariji, yako shusha mapaji, Roho Mungu njoo } *2 1.Hekima nishushie, Mungu nimfuate, Roho Mungu njoo. 2.Akili nijalie, imani nizidie, Roho Mungu njoo. 3.Nieneze shauri, nishike njia nzuri, Roho Mungu njoo. 4.Nizidishie nguvu, n`sifanye ulegevu, Roho Mungu njoo. 5. Elimu nieleze, hakika niongoze, Roho Mungu njoo. 6. Ibada niwashie, pekee nikutamani, Roho Mungu njoo. 7. Uchaji nitilie, dhambi niichukie, Roho Mungu njoo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa