Mtunzi: Anophrine D. Shirima
> Mfahamu Zaidi Anophrine D. Shirima
> Tazama Nyimbo nyingine za Anophrine D. Shirima
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Anophrine desdeus
Umepakuliwa mara 786 | Umetazamwa mara 3,747
Download Nota Download MidiKIITIKIO;
Njoo Yesu moyoni mwangu x 2, kaa ndani yangu nami ndani yako siku zote,njoo Bwana wangu, njoo Ee Yesu wangu.
MAIMBILIZI;
1.Yesu wasimama wabisha atakayefungua mlango na wewe utaningia, nami nafungua moyo wangu Bwana upate kuingia, ongoza maisha yangu Yesu.
2.Atakayefungua mlango utakaa ndani yake na yeye ndani yako, karibu mwokozi ishi nami sasa ninakukaribisha, ukae moyoni mwangu Yesu