Ingia / Jisajili

Njoo Yesu Mpenzi

Mtunzi: LINUS.K.KANDIE
> Mfahamu Zaidi LINUS.K.KANDIE
> Tazama Nyimbo nyingine za LINUS.K.KANDIE

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Kandie Linus

Umepakuliwa mara 287 | Umetazamwa mara 931

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Njoo kwangu Yesu mpenzi wa moyo wangu. Nakukaribisha ukae ndani yangu. Yesu nakupenda kaa ndani yanguĂ—2 Mashairi 1.Wewe ni chakula cha uzima njoo uniburudishe nipate uzima. 2.Wewe ni kinywaji cha uzima njoo uniburudishe nipate uzima. 3.Kwa upendo mkuu waja kwetu kwa fumbo hili kweli takatifu sana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa