Ingia / Jisajili

Bwana Umtume Roho Wako

Mtunzi: LINUS.K.KANDIE
> Mfahamu Zaidi LINUS.K.KANDIE
> Tazama Nyimbo nyingine za LINUS.K.KANDIE

Makundi Nyimbo: Pentekoste | Zaburi

Umepakiwa na: Kandie Linus

Umepakuliwa mara 286 | Umetazamwa mara 751

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana, Bwana umtume Roho wako (Roho wako) na uufanye upya uso wa nchi. Bwana, Bwana umtume Roho wako (Roho wako) na uufanye upya uso wa nchi, na uufanye upya uso wa nchi na uufanye upya uso wa nchi, na uufanye upya uso wa nchi na uufanye upya uso wa nchi. 1.Umsifu Bwana, ee nafsi yangu. Ee Bwana, Mungu wangu u mkuu sana. Ee Bwana, jinsi gani zilivyo nyingi kazi zako. Dunia imejaa viumbe vyako. 2.Ukiondoa pumzi yao,wanakufa na kuyarudia mavumbi yao. Ukimtuma Roho wako wanaumbwa, na unafanya upya uso wa nchi. 3.Utukufu wa Bwana na udumu milele. Bwana na afurahie kazi zake. Tafakari yangu na impendeze Mungu, nami nitafurahi katika Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa