Ingia / Jisajili

Bwana Harusi Na Bibi Harusi Hongereni Sana

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 673 | Umetazamwa mara 1,474

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI HONGERENI SANA KWA KUFUNGA NDOA X2 (1) Pendaneni Ninyi kwa ninyi upendo wenu utawale. Mkifanya hivyo mtampendeza Bwana.(2). Mungu Baba hawalinde Katika maisha ya ndoa.Mtegemeeni Mungu yupo nanyi.(3).Mungu Baba Hawa bariki Bwana nawe Bibi harusi hawalinde Katika shida na magonjwa (4).Mtegemeeni Bwana Mungu wenu. Katika familia yenu na watoto wenu wawe watu wa sala Katika maisha yao.(5) Enyi wapendwa msikubalu shetani hawe kati yenu. sameheaneni mkikwazana Bwana hawe nanyi nyote.

Maoni - Toa Maoni

Brenda chepkoech Nov 08, 2023
Napongeza

Toa Maoni yako hapa