Ingia / Jisajili

Njooni Mfungue Kinywa

Mtunzi: Eng. Imani Raphael M. B.
> Mfahamu Zaidi Eng. Imani Raphael M. B.
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Imani Raphael M. B.

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Raphael Imani M.B.

Umepakuliwa mara 509 | Umetazamwa mara 1,963

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Yesu aliwambia wafuasi wake njooni mfungue kinywa) x2

(akatwaa mkate akawapa wale Aleluya)x2

mashairi

1. Mwili wake Yesu ni chakula cha uzima, uzima wa milele Aleluya

2. Damu yake Ysu ni kinywaji cha uzima, uzima wa milele Aleluya


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa