Mtunzi: Eng. Imani Raphael M. B.
> Mfahamu Zaidi Eng. Imani Raphael M. B.
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng. Imani Raphael M. B.
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Raphael Imani M.B.
Umepakuliwa mara 766 | Umetazamwa mara 2,980
Download Nota Download MidiTazama ilivyo vema na kupendeza, ndugu wakae pamoja kwa umoja
1. Ni kama mafuta mazuri kichwani yashukayo ndevuni ndevu za Haruni, yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake
2. Kama umande wa Hermon ushukao mlimani pa sayuni maana ndipo Bwana alipo amuru baraka naam uzima hata milele