Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 477 | Umetazamwa mara 1,988
Download Nota Download MidiNYUMBA YA SALA
Bwana asema nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala X2 kila aombaye (hupewa) atafutaye (hupata) abishaye hodi , hufunguliwa nyumba yangu utaitwa nyumba ya sala
1. Nyumba yangu sio pango la wanyaji ... (K) Nyumba yangu itaitwa nyumaba ya sala
2. Ndani yake aombaye hupata ... (K) Nyumba yangu itaitwa nyumaba ya sala
3. Abishaye hodi hufunguliwa .. (K) Nyumba yangu itaitwa nyumaba ya sala
4. Naye atafutaye hupata .... (K) Nyumba yangu itaitwa nyumaba ya sala
5. Bwana humpa mtu aombacho .. (K) Nyumba yangu itaitwa nyumaba ya sala