Ingia / Jisajili

Chakula Kutoka Mbinguni

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 10 | Umetazamwa mara 23

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
CHAKULA KUTOKA MBINGUNI Mwili wake Yesu ni chakula chakula kilichoshuka kutoka mbinguni, Damu Yake Yesu ni kinywaji nikinwaji kilichoshuka kutoka Mbinguni, //Chakula safi cha uzima, kinywaji safi cha Roho Zetu, tukishakula chakula hiki tutaishi Milele x2 1) Mwili wa Bwana Yesu ni chaklula cha Roho, na Damu ya Bwana Yesu ni kinywaji safi, Wote wenye mioyo safi twende tumpokee. 2) Yesu alituambia Yeye Ndiye uzima, anayekula Mwili na kunywa damu Yake, hukaa ndani yangu na Yeye Ndani yake. 3) Yeye ni tabibu kweli wa Roho Zetu ukila Mwili Wake na kunywa damu yake utapata uzima wa Milele. 4) Hiyo ndiyo kalamu aliyotuachia inayotupatanisha na Yeye Bwana Wetu tunapokula hutusafisha Roho Zetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa