Ingia / Jisajili

Nyumbani Mwa Bwana

Mtunzi: Alex E Kabogo
> Mfahamu Zaidi Alex E Kabogo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex E Kabogo

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Kabogo

Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 11

Download Nota
Maneno ya wimbo

Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu katika malisho malisho ya majani mabichi hunilaza kando ya maji ya utulivu huniongoza hunihuwisha nafsi nafsi yangu.

Kiitikio; Nami nitakaa nyumbani mwa bwana na milele yote nami nitakaa nyumbani mwa bwana na milele yote ×2 milele yote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa