Ingia / Jisajili

Ole Wake Amsalitiye

Mtunzi: Dominic musyoki
> Mfahamu Zaidi Dominic musyoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Dominic musyoki

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Dominic Musyoki

Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 12

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ole wake mtu yule amsalitiye mwana wa adamu, igekuwa heri kwake, mtu yule, kama, asigalizaliwa.*2 1.Nao walipo kuwa wa Kila, alisema amini na waambia, mmoja wenu atanisaliti. 2.Pilato aliwambia, mnataka niwafugulie nani, baraba, au Yesu, aitwaye kristo. 3.Basi nimtedeje Yesu aitwaye kristo, wakasema, asulubiwe
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa