Ingia / Jisajili

Tanzama U Mzuri

Mtunzi: Dominic musyoki
> Mfahamu Zaidi Dominic musyoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Dominic musyoki

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Dominic Musyoki

Umepakuliwa mara 66 | Umetazamwa mara 87

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Familia Takatifu

Download Nota
Maneno ya wimbo
Tanzama u mnzuri tanzama macho yako ni kama ya ua tanzama u mzuri mpedwa wangu wa pendeza.*2 1. Mtini wapevusha tini zake na mizabibu inachanua inatoa harufu yake nzuri ondoka mpenzi wangu mzuri wangu. 2. Kinywa chake kimenjaa maneno matamu, ndiwe mzuri sana pia niwewe mpedwa wangu ni wewe rafiki yangu. 3.. Ni wewe mpedwa wangu mzuri sitakuacha kamwe, na hapa sita kuacha mpaka tutenganishwe na kifo. 4. Ni wewe mpenzi wangu, mpedwa wa roho yangu, na hapa sitakuacha hadi kifo kitutenganishe.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa