Ingia / Jisajili

Ombeni Mkisali

Mtunzi: Rumba, D.f.
> Mfahamu Zaidi Rumba, D.f.
> Tazama Nyimbo nyingine za Rumba, D.f.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 280 | Umetazamwa mara 1,679

Download Nota
Maneno ya wimbo

Bwana asema Amini, Amini, Amini nawaambieni x2 Yote myaombayo mkisali amini ya kwamba mnayapokea nayo yatakuwa yenu x2 Nanyi kila msimamapo na kusali, sameheni mkiwa na neno juu ya mtu, [Ili na Baba yenu aliye Mbinguni awasameheni ninyi makosa yenu x2]


Maoni - Toa Maoni

odetha onesmo rutha Nov 07, 2019
huu wimbo auna mashairi

Toa Maoni yako hapa