Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Fransis Norbert
Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 4
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C
Ondoka Ee Yerusalemu usimame juu tazama uione furaha inayokujia kutoka kwa Mungu wako.
1. Tazama mashariki na Magharibi, watoto wako uliowaacha waende wanakuja nyumbani