Ingia / Jisajili

Bwana Anatualika Mezani

Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Fransis Norbert

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 23

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana anatualika mezani pake twende tukale chakula cha kiroho 1. Meza ya Bwana ni ya heri na amani tunaalikwa sote twende tukale 2. Chakula cha Bwana nichakula bora cha wasafiri tunaalikwa sote twende tukale 3. Tunapompokea Yesu wa ekaristi anatuimarisha kiimani

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa