Mtunzi: Fr. Aloyce Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Aloyce Msigwa
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 983 | Umetazamwa mara 2,971
Download Nota1. Tawala Kristu Mfalme milele tawala tawala tawala
2. Mama Maria tuimarishe katika imani ongoza
3. Mama Maria tuimarishe katika umoka ongoza
4. Mama Maria twakushangilia ongoza tawala tawala
Tawala Kristu Mfalme milele tawala tawala tawala
Mama Maria ongoza watu wako wapeleke kwa Yesu mtawala x2