Ingia / Jisajili

Onjeni Mwone

Mtunzi: Seraphin T.m.kimario
> Tazama Nyimbo nyingine za Seraphin T.m.kimario

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Joseph Rumanyika

Umepakuliwa mara 445 | Umetazamwa mara 1,451

Download Nota
Maneno ya wimbo
  • Kiitikio
  • Onjeni mwone ya kuwa bwana yu mwema,
  • Onejni mwone ya kuwa bwana yu mwema 

  • Maimbilizi
    • 1. Nitamhimidi Bwana kila wakati, sifa zake zi kinywani mwangu daima
  •     katika Bwana nafsi yangu itajisifu, wanyeyekevu wasikie wakafurahi

  • 2. Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake hukielekea kilio chao
  •      Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya, aliondoe kumbukumbu lao duniani.


  • 3. Walilia naye Bwana akasika, awaponya na taabu zao zote
  •     Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, nao waliopondeka roho huwaokoa.


  • 4. Mateso ya mwenye haki ni mengi, lakini Bwana humponya nayo yote
    •     Huhifadhi mifupa yake yote, haukuvunjika hata mfu mmoja

  • 5. Uovu utamuua mtu ahiye haki, nao wamhcuiao mwenye haki watahukumiwa
  •     Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake, wala hatahukumiwa wote wamkimbiliao.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa