Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 661 | Umetazamwa mara 1,833
Download Nota Download MidiOnjeni mwone ya kuwa, ya kuwa Bwana yu mwema Onjeni mwone ya kuwa ya kuwa Bwana yu mwema x2 {Ya kuwa Bwana yu, (yu mwema) ya kuwa Bwana yu, (yu mwema) x2} Onjen mwone ya kuwa, ya kuwa Bwana yu mwema, [(ya kuwa Bwana) yu mwema (ya kuwa Bwana) yumwema x2] Onjeni mwone ya kuwa ya kuwa Bwana yu mwema.
1.Nitamhimidi Bwana kila wakati sifa zake zikinywani, mwangu daima, katika Bwana Nafsi yangu itajisifu, wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
2.Mtukuzeni Bwana pamoja Nami, natuliadhimishe jina lake pamoja, nalimtafuta Bwana naye akanijibu, kaniponya na hofu zangu zote.
3.Wakamwelekea macho wakati wa Nuru, wala nyuso zao hazitaona haya, Maskini huyu aliita Bwana akisikia, akamwokoa na Taabu zake zote.
4.Malaika wa Bwana, hufanya kituo, akiwazungukia wamchao nakuokoa, Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema, Heri mtu yule anayemtumaini.