Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alvin Marie
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 8
Download Nota Download MidiWewe ndiwe Mungu, huhitaji chochote, wamiliki mbingu na vyote vya duniani. Nitakupa nini kama shukrani yangu, ili iwe sawa na mema uliyonipa. Nautoa moyo wangu ni uliopondeka. Nautoa mwili wangu, nitumie ee bwana. Najitoa kwako kama paji la shukrani.