Mtunzi: Melchior Basil Syote
> Tazama Nyimbo nyingine za Melchior Basil Syote
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 1,814 | Umetazamwa mara 5,182
Download NotaPALIKUWA NA HARUSI.
Palikuwa na harusi Mjini Kana, harusi ya mjini Kana Galilaya
//(na Yesu pamoja na Mama) na Yesu pamoja na Maria mama yake wote walikuwapo x2
1. Na leo hii kama zamani kati yenu wamo Mama na Mwana
2. Kwa maombezi ya mama yake Bwana Yesu awa jalie Baraka
3. Taabu na raha ndio Dunia Bwana Yesu ata wasaidia.