Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 575 | Umetazamwa mara 2,145
Download Nota Download MidiPAMOJA NA HAYO IMENIPASA - BY LUCAS MLINGI
luka 13;33
Pamoja na hayo imenipasa (kuishika) njia yangu leo na kesho na kesho kutwa x2
Bass /Tenor
1. Pamoja na hayo yote imenipaasa kufuata njia hii, ndio njia yangu ndio njia yangu.
2. Naami Ee Bwana Mungu nimeiitika kufuata njia hii ndio njia yangu ndio njia yangu
3. Nitume niende Bwana naami Bwana naitika wito wako, ndio njia yangu ndio njia yangu.