Ingia / Jisajili

Ajitwike Msalaba

Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 5,545 | Umetazamwa mara 13,086

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

LUKA 9:23 - 26 COMPOSER LUCAS MLINGI

DON BOSCO CHOIR

ST THERESIA - ARUSHA

JANUARY 2002

Mtu yeyote akitaka kunifuata ajikane na ajitwike, Msalaba ajitwike msalaba wake, Msalaba ajitwike msalaba wake

1.     Anifuate nami nitamuongoza katika maisha ya raha na taabu

2.     Atakaye kuiponya nafsi yake na waambieni ataiangamiza

3.     Atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu ataisalimisha

4.     Yafaa nini kuupata uliwengu mtu kujiangamiza au kujipoteza


Maoni - Toa Maoni

joseph urio Jan 22, 2018
nimezipenda kwaya lakini kudawnlowad nimeshindwa

ayubu mgata Aug 31, 2017
Mungu nitegemeo lamaisha ya kola mmoja

Francis mulda Dec 18, 2016
Rc I mean waumini Roma tuweni na imani iliyo thabiti maana twaonekana tupo nyuma kiimani...

Toa Maoni yako hapa