Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 1,114 | Umetazamwa mara 2,983
Download Nota Download MidiPANGONI BETREHEMU
Pangoni Betrehemu amezaliwa Mtoto, Twendeni wote na wachubga kumsujudia Mtoto.
Lala lala lala lala Kitoto cha Mbingu ...x2
1. Haya twendeni kule Betrehemu tukamwone Mkombozi amelazwa horini.
2. Maria na Yosef huko Betrehemu wamsujudia Mtot kwenye zizi la ng`ombe.
3. Wachungaji wakaenda mbio Betrehemu alikolazwa Mtoto kumuona Mfalme wetu.
4. Malaika wanaimba huko Betrehemu wanamsifu Mungu Bwana kaja Duniani.