Ingia / Jisajili

Pokea Baba Vipaji Vyetu

Mtunzi: Izack Mwageni
> Mfahamu Zaidi Izack Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Izack Mwageni

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Izack Mwageni

Umepakuliwa mara 186 | Umetazamwa mara 618

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Pokea baba twakutolea vipaji vyetu vikupendeze mkate divai pokea baba.Twakutolea kwa moyo wetu wote baba twakuomba sana tunakuomba baba pokea. 1.Mungu wetu ana upendo habagui na hachagui hugawa sawasawa tumtolee 2.Huyu naye kabeba hiki yule pale kabeba kile mwingine nafsi yake umpokee. 3.Mungu wetu hutoa vingi hata kama hatukuomba neema yake Mungu tumshukuru

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa