Ingia / Jisajili

Usiniue Mama

Mtunzi: Izack Mwageni
> Mfahamu Zaidi Izack Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Izack Mwageni

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Izack Mwageni

Umepakuliwa mara 78 | Umetazamwa mara 417

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Uwi uwi uwi Usiniue mama nina haki kaka aliyokupa mama yako×2 1.asante mama kwa kunizaa wala hukunitupa tazama leo napendeza nakuimbia nyimbo nzuri asante mama. 2.Watoto ni baraka toka kwa Mungu ni upendo mkubwa Mungu hupendezwa 3.Watoto ni mtaji hitaji la taifa la badaye taifa lawategemea nguzo imara kwa badae kwa kanisa letu. 4.Waogopa maneno aibu ni ya muda tena mfupi utadhani ni siri kwako lakini Mungu humfichi tubu na uache

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa