Ingia / Jisajili

Pokea Muhuri Wa Roho Mtakatifu

Mtunzi: Fobas Msambazya
> Tazama Nyimbo nyingine za Fobas Msambazya

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: Forbas Msambazya

Umepakuliwa mara 96 | Umetazamwa mara 222

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Pokea muhuri wa paji roho, pokea muhuri wa paji la roho Mtakatifu, ili uwe imara umshuhudie Kristo, umekuwa, kuhani nabii na mfalmex2 1. unapakwa mafuta, mafuta matakatifu ya krisma, iliuunganike na taifa lake Kristo. 2.Uendelee kuwa kiungo cha Kristo, kuhani nabii na mfalme hadi upate uzima wamilele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa