Ingia / Jisajili

Tumtolee Mungu Mapaji

Mtunzi: Fobas Msambazya
> Tazama Nyimbo nyingine za Fobas Msambazya

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Forbas Msambazya

Umepakuliwa mara 65 | Umetazamwa mara 143

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
tusimame wakristo tukamtolee Mungu mapaji, kwa matendo makuu ya ajabu ayatendayo kwetu, Afya njema uhai na mapaji atupatia bure, karama na vipawa ametupa tumtumikie. mazao ya mashamba tupeleke ( twendeni) kwa furaha tukamtolee Baba asante x2. 1.Uzima afya mali tunapata kwake, juhudi zetu bila Mungu si kitu,tuvipeleke kwa Baba avibarikie. 2.Anatulinda usiku anatulinda mchana,ridhiki atupatie yeye anabariki mipango yetu (nasi twendeni) tweneni tukamshukuru Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa