Ingia / Jisajili

Rafiki Mwema

Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel

Makundi Nyimbo:

Umepakiwa na: Samwel Abado

Umepakuliwa mara 1,044 | Umetazamwa mara 3,159

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

ALBERT LIKECHA Feb 06, 2017
Kaka Abado nakupongeza sana kwa wimbu mzuri wa Rafiki mwema. Ila kidogo ninatoa ushauri ufanye marekebisho kwenye sauti ya pili pale inapomalizia tukombolewe. Nashauri usiikimbize kwa kuongezea semi quaver bali ibaki quaver. Ahsante.

Oscar Chiwalala Oct 27, 2016
Amani na salama Kaka napenda kukupongeza sana kwa nyimbo yako ya yesu Rafiki Mwema Mungu akubariki sana na pia Nyimbo hii ni ya shukrani komunyo au?

Toa Maoni yako hapa