Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional
Makundi Nyimbo: Tenzi za Kiswahili
Umepakiwa na: Aloyce Family
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download Midi1..Kwaheri yesu mpenzi mwema, nakwenda usiudhike mno, nakushukuru nakupenda, kwa hizo nyimbo za mwisho Asubuhi nitarudi Yesu kwaheri.
2..Kwaheri Mama mtakatifu sasa napita pumzika, Ahsante kwa moyo na nguvu leo umeniombea, AAsubuhi nitarudi Mama kwaheri.
3..Kwaheri Yoseph mnyenyekevu kazi zatimilizika kama mchana leo usiku nisimamie salama Asubuhi nitarudi.. Yoseph kwaheri.