Ingia / Jisajili

Twakusifu Mungu Mkuu

Mtunzi: Traditional
> Tazama Nyimbo nyingine za Traditional

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 10,013 | Umetazamwa mara 17,347

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Maheri Chacha Sep 13, 2021
... huu wimbo ni mzuri sijapata Kusikia radha nzuri masikioni kama huu.. Mungu akuzidishie zaid

Bosco Masika Dec 31, 2017
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukujalia kipaji kizuri cha utunzi wa nyimbo za injili/dini. Nimependezwa na huu wimbo na pamoja na tungo zako nyingine, Mwenyezi Mungu na aikuze karama hiyo ili uendelee kutangaza injili yake. Napenda sana kuwa mpigaji mzuri wa kinanda lakini nakosa wakat na lakini naamini penye nia pana njia. Mungu na akubariki katika kazi hii ya utume. Amina.

nicodemus kisonga Dec 22, 2017
mungu azidi kuwapa nguvu sana katika utume wenu

Toa Maoni yako hapa