Ingia / Jisajili

Roho Mtakatifu Alionekana

Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Fransis Norbert

Umepakuliwa mara 20 | Umetazamwa mara 28

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Roho mtakatifu alionekana katika wingu linalong'aa na sauti ya Mungu baba ikasikika ikisema huyu ni mwanangu mpendwa wangu msikieni yeye

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa