Ingia / Jisajili

Jubilei Ni Yetu

Mtunzi: Fransis norbert
> Mfahamu Zaidi Fransis norbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Fransis norbert

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Fransis Norbert

Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Jubilei ni yetu sote wana peter clavery hakika ilikuwa safari ndefu yenye matumaini kuifikia siku hii ya miaka ishinatano ya parokia yetu.

1. Ni furaha kwetu sote kwa zawadi hii kubwa siku tuliyoingoja tangu mwaka elfu mbili tunapaswa kumshukuru Mungu.

2. Ni furaha kwetu sote kwa zawadi hii kubwa kwa nyimbo nzuri tushangilie tupige magoti makofi kwa furaha tumshukuru Mungu.

3. Ni furaha kwetu sote kwa zawadi hii kubwa, tuwapongeze na viongozi wa parokia yetu, kwa pamoja tumshukuru Mungu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa