Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 938 | Umetazamwa mara 3,080
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Roho mtakatifu alionekana katika wingu linalong'aa na sauti ya Mungu Baba ikasikika ikisema ; huyu ni mwanangu niliyependezwa naye , msikieni yeye.